Spika Dkt. Tulia Ashiriki Mkutano Wa Jumuiya Ya Madola Ghana

 Na, Mwandishi Wetu, Ghana.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.TuliaAckson, leo tarehe 5 Oktoba, 2023 ameshiriki Mkutano wa 66wa Kibunge wa Jumuiya ya Madola (CPC) unaoendelea katika ukumbiwa Mikutano wa Kimataifa wa Accra nchini Ghana wenye dhimaisemayo “The Commonwealth Charter 10 years on: Values and Principles for Parliaments to Uphold”

Katika Mkutano huo, Dkt. Tulia ameambatana na baadhi ya Wabungeakiwemo Mhe. Dkt. Alice Kaijage, Mhe. Abdallah Mwinyi, Mhe. Dkt.Pius Chaya, Mhe. Dkt. Joseph Mhagama, Mhe. Elibariki Kingu pamojana Katibu wa Bunge Bi. Nenelwa Mwihambi ndc





Post a Comment

Previous Post Next Post