Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
WAZIRI wa Madini Mhe. Anthony Mavunde leo Oktoba 5, 2023, anaongoza majadiliano maalumu kuhusu mchango wa sekta ya fedha katika ukuaji wa sekta ya madini .
kinahudhuriwa na Taasisi kumi za Umma na binafsi zinazojishughulisha na sekta ya fedha chini ya mwamvuli wa Umoja Wa Mabenki Tanzania ( TBA).
Wengine wanaohudhuria mkutano huo muhimu kwa msatakabali wa maendeleo ya sekta ya madini nchini ni pamoja na wafanyabiashara wa madini, watoa huduma, wachimbaji wadogo, wa kati na wakubwa.


Post a Comment