Makamu Wa Rais Ibada Ya Asubuhi Kanisa Kuu Tabora




Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Mpango na mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wakishiriki Ibada ya Asubuhi ya kawaida katika Kanisa Kuu Katoliki la Mtakatifu Teresa Jimbo Kuu Tabora ltarehe 30 Agosti 2023.




Makamu wa Rais waJamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana wanafunzi wa shule ya msingi Tabora Viziwi mara baada ya kushirikinao Ibada ya Asubuhi ya kawaida katika Kanisa Kuu Katoliki la Mtakatifu Teresa Jimbo Kuu Tabora ltarehe 30 Agosti 2023


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Mpango na mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya msingi Tabora Viziwi mara baada ya kushiriki nao Ibada ya Asubuhi ya kawaida katika Kanisa Kuu Katoliki la Mtakatifu Teresa Jimbo KuuTabora ltarehe 30 Agosti 2023.

 


 

Post a Comment

Previous Post Next Post