Waziri Mkuu Ashiriki Msiba wa Dada wa Makamu Wa Rais

 

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akiweka Saini katikakitabu cha maombolezoyakifo cha Dada wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Mpango Marehemu Bi. Maria IsdorNzabhayanga mara baada ya kuwasili msibani katika Kijiji cha Kipalapala mkoani Tabora tarehe 30 Agosti 2023.


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akimfariji Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango kufuatia kifo cha Dada yake Marehemu Bi. Maria IsdorNzabhayanga mara baadayakuwasilimsibanikatika Kijiji cha Kipalapala mkoaniTabora tarehe 30 Agosti 2023.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira 
Dkt. Selemani Jafo akiweka Saini katika kitabu cha maombolezo ya kifo cha Dada wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango Marehemu Bi. Maria Isdor Nzabhayanga mara baada ya kuwasili msibani katika Kijiji cha Kipalapala mkoani Tabora tarehe30Agosti 2023.












Post a Comment

Previous Post Next Post