Makamu Wa Rais Akiomboleza Kifo Cha Dada Yake

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Mpango akiweka Saini katika kitabu cha maombolezo ya kifo cha Dada yake Marehemu Bi.Maria IsdorNzabhayanga mara baada ya kuwasili msibani katika Kijiji cha Kipalapala mkoani Taboraleo tarehe 29 Agosti 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Mpango akiwa pamoja na ndugu, jamaa na marafiki katika kuomboleza kifo cha Dada yake Marehemu Bi.Maria IsdorNzabhayanga mara baada ya kuwasili  msibani katika Kijiji cha Kipalapala mkoani Tabora tarehe 29 Agosti 2023.

Post a Comment

Previous Post Next Post