Leo Mei 8, 2026, Bunge linaendelea na mjadala wa kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ujuzi kwa mwaka wa fedha 2026/27.
Katika kikao hicho, Wabunge wanachangia hoja mbalimbali zinazohusu sekta ya elimu na maendeleo ya teknolojia nchini.
Tayari Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojoa Prof. Adolf Mkenda, Naibu Waziri Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Katibu Mkuu Prof. Carolyne Nombo, Naibu Katibu Prof. Daniel Mushi wamewasili Bungeni kwa ajili ya kufuatilia mjadala huo wa bajeti ya elimu.


Post a Comment