‎KATAMBI AWASILI BUNGENI KUWASILISHA BAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI 2026/27

 


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, akiwasili katika viwanja vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma, ambapo atawasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027, leo Mei 25, 2026.



Post a Comment

Previous Post Next Post