DKT.HOMERA MGUU SAWA KUWASILISHA BAJETI YA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA 2026/27

 

Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera, tayari amewasili Bungeni kwa ajili ya kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria ya 2026/2027.  Hotuba hii inawasilishwa leo tarehe 24 Aprili, 2026. 

Usikose kufuatilia matangazo ya Bunge leo ili kuweza kufahamu Mpango wa Utekelezaji wa Wizara ya Katiba na Sheria.

#WizarayaKatibanaSheriaHakiUsawanaUtawalawaSheriakwaWote#




Post a Comment

Previous Post Next Post