Shule ya Feza kushirikiana na Katoto Tennis academy wameandaa mashindano ya tennis yaliyoshirikisha Shule tano ,yaliyofanyika kwenye viwanja vya shule ya FEZA SCHOOL Jijini Dodoma ,mashindano ya watoto kati miaka 8 hadi 13 ,shule zilizoshiriki ni Feza,Martin luther,Tumain foundation,Cannon Andrea mwaka na St.Ignatius
Shule ya Martin Luther waliibuka Washindi wa Kwanza kwenye mashindano hayo.

Post a Comment