Home SIMBA YASHIRIKI UZINDUZI WA SAFARI NA AIR TANZANIA KWENDA MTWARA sematv February 17, 2025 0 Tukiwa safarini kuelekea Ruangwa, Lindi tumeshiriki uzinduzi wa safari za Shirika la Ndege la Air Tanzania kwenda mkoani Mtwara.Uzinduzi umeongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Abdallah Mwaipaya katika Uwanja wa Ndege wa Mtwara. You Might Like
Post a Comment