WAZIRI MKUU AKUTANA NA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA

 



Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na Viongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini, Ofisini kwake Mlimwa jijini Dodoma leo Juni 26, 2024. 


Majaliwa amefanya kikao hicho ikiwa leo ni siku ya tatu toka Wafanyabiashara hao wafunge maduka yao kushinikiza kero zao kusikilizwa na kutatuliwa na Serikali ikiwemo kodi wanazokumbana nazo TRA. #MillardAyoUPDATES

Post a Comment

Previous Post Next Post