SIMANZI: WATU 5 WAFARIKI DUNIA AJALINI ARUSHA

 


 Watu watano wamefariki dunia, papo hapo huku wengine wakijeruhiwa, baada ya gari dogo la abiria aina ya Nissan Caravan, lenye namba za usajili T 958 DFM, kuligonga kwa nyuma lori aina Fiat, lenye namba za usajili T 551 AFP, lililokuwa limebeba magogo kwenye barabara ya Namanga-Arusha.




Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Justine Masejo, amesema uchunguzi wa ajali hiyo bado unaendelea.

Post a Comment

Previous Post Next Post