Leo katika dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam kuanzia saa 1:00 USIKU patakuwa hapatoshi, Mnyama Simba SC atakuwa na kazi moja tu kuchukua ushindi dhidi ya JwanengGalaxy kutoka Botswana katika mechi ya mwisho hatua ya makundi ligi ya mabingwa Afrika.
Mnyama anataka ushindi ili kulipa kisasi na kufuzu hatua ya robo fainali

Post a Comment