MAUAJI :KIJANA AUWA WATATU

 Kijana Andre Gordon (26) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za mauaji ya watu watatu akiwemo mama yake wa kambo Karen Gordon (52) na dada yake mwenye umri wa miaka 13, huko Pennsylvania nchini Marekani, kabla ya kumteka nyara dereva na kukimbilia New jersey.



Kwa mujibu wa Mwanasheria wa Wilaya ya Bucks Jennifer Schorn amesema Gordon, ambaye alikuwa akiendesha gari lililoibiwa kutoka Trenton, aliwaua kwa kumpiga risasi watu hao watatu.



Huko Pennsylvania, Andre Gordon anakabiliwa na mashtaka ya mauaji, wizi, na shambulio, pamoja na mashtaka mengine mengi ya uhalifu yanayohusiana na ufyatuaji risasi.

Post a Comment

Previous Post Next Post