Afcon 2023 Mshindi Wa Tatu Apatikana


 Afrika Kusini wanamaliza michuano ya AFCON 2023 kwa kuwa Washindi wa tatu baada ya dakika 90 kumalizika mikwaju ya penati ilitumika kutafuta mshindi ambapo Afrika Kusini wakashinda kwa penati 6-5.

Post a Comment

Previous Post Next Post