Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza wakati
wa Mkutano wa Ngazi ya Juu wa Mifumo ya
Usalama wa Chakula uliyoshirikisha Muungano wa wadau wa usalama wa chakula
duniani. Mkutano huo umefanyika Kando ya Mkutano wa Jukwaa la Uchumi
Duniani (WEF) unaofanyika Davos nchini Uswisi.

Post a Comment