Rais wa Umojs wa Mabunge Duniani [IPU] Ambaye pia ni spika wa Bunge la Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania na Mbunge Wa Mbeya Mjini Mhe, Dkt Tulia Ackson. Akiwa amepakatwa na mama yake mzazi Bi, Nkundwe Mbonile Akimpongeza Kwa Ushindi Wa Urais Wa IPU Baada Ya Kutembelea Nyumbani kwake Rungwe Mkoani Mbeya Leo Tarehe 12, November,2023.
Spika Dkt Tulia Akipongezwa Na Mama Yake Mzazi
sematv
0

Post a Comment