Makamu Wa Raisi Ashiriki Mkutano Wa SADC Troika

 





Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa Utatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika pamoja na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (SADC ORGAN TROIKA + DRC) uliofanyika kwa njia ya mtandao leo tarehe 27 Septemba 2023 (Dodoma).

Post a Comment

Previous Post Next Post