CHAGUA KESHO YAKO NA CHUO CHA MIPANGO

 


Unatafuta chuo kitakachokusaidia kutimiza ndoto zako? Karibu kwenye banda la Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini katika Maonesho ya 7 ya Wiki ya Elimu ya Juu Zanzibar, yanayofanyika Viwanja vya Mnazi Mmoja.

Pata taarifa za programu za masomo, ushauri wa kitaaluma, na msaada wa kujiunga na chuo moja kwa moja.

Usikose kutembelea banda letu kuanzia tarehe 14 hadi 20 Julai 2026.



Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini... Kupanga ni Kuchagua!

Post a Comment

Previous Post Next Post