Baadhi ya Wanafunzi waliopata sare mpya za shule hapa Shule ya Msingi Chambalo katika zoezi la ugawaji wa sare mpya kwa watoto wanaotoka Familia/Kaya duni kupitia kampeni ya 'Nipendezeshe Nisome'
Kampeni hii kwa mwaka 2026 imefanyika wilaya ya Chemba mkoa wa Dodoma.
Tunawashukuru wadau wetu kwa mchango wa kipekee kufanikisha zoezi hili.

Post a Comment