JIJI LA DODOMA LAPATA SULUHISHO LA MICHEZO KWA FAMILIA

 

Wakaazi wa Jji la Dodoma wamepata sehemu sahihi ya kufanya michezo mbalimbali wakiwa  na familia zao baada ya uzinduzi wa Viwanja vya Tennis na michezo mbalimbali vilivyoko Njedengwa  Investment vilivyopewa jina KATOTO SPORTS  CENTER,Viwanja hivyo ambavyo unaweza kwenda na familia Yako na kushiriki michezo kama mpira wa miguu ,Tennis ,basketball,bwawa la kuogelea kwa watoto  pia mtoto anaweza kujifunza karate na table tennis  Kuna makocha mahiri wa kufundisha  michezo hiyo kutakuwa na sehemu ya kupata viburudisho ambavyo havina kilevi  kwa washiriki ,ni sehemu sahihi ambayo kwa kipindi Cha likizo kwa wanafunzi kujifunza  michezo mbalimbali


Viwanja hivi vinauwezo wa kubeba watoto 500 kwa wakati mmoja vinafaa kwa mashule kufanyia mashindano mbalimbali ya mashule .






























Post a Comment

Previous Post Next Post