‎MAWAZIRI 7 WATUPWA NJE BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI

  


‎Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan leo Novemba 17.2025  ametangaza Baraza jipya la Mawaziri ambalo limekuja na baadhi ya  sura mpya za mawaziri na kusababisha baadhi ya  mawaziri waliyokuwemo kwenye baraza hilo kwa serikali iliyopita kushindwa kufua dafu kwa mara nyingine.

‎Mawaziri waliyotemwa ni kama ifuatavyo÷

‎1.Dkt.Doto Biteko aliyekuwa Naibu Waziri mkuu na Waziri wa nishati.

‎2.Mhe.Damas Ndumbaro aliyekuwa Waziri wa Katiba na sheria.

‎3.Mhe.Innocent  Bashungwa Aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani.

‎4.Mhe.Pindi Chana aliyekuwa waziri wa utalii.

‎5.Mhe.Jenesta Mhagama aliyekuwa waziri wa Afya

‎6.Dkt. Seleman Jafo aliyekuwa waziri wa Viwanda na biashara

‎7.Dkt.Husein Bashe aliyekuwa waziri wa kilimo.

Post a Comment

Previous Post Next Post