RAIS SAMIA AGHARAMIA MATIBABU YA MOYO KWA MTOTO MKAZI WA MBOZI MKOANI SONGWE

 



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan amegharamia kiasi Cha Shilingi Milioni 8 kwaajili ya matibabu ya Mtoto Mkazi wa Mbozi Mkoa wa Songwe mwenye tatizo la moyo baada ya mzazi wa mtoto huyo kushindwa kupata fedha za matibabu.


Hayo yamejiri wakati Rais Dkt, Samia aliposimama eneo la Mlowo Wilaya ya mbozi kwa lengo la kusalimiana na Wananchi akiwa njiani kuelekea Uwanja wa Ndege Songwe akitokea Katavi na Rukwa leo Julai 18,2024.



Post a Comment

Previous Post Next Post