RAIS SAMIA AFANYA UFUNGUZI WA JENGO LA HALMASHAURI YA WILAYA YA KALAMBO RUKWA*.

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan leo Julai 16,2024 amezindua rasmi Jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa wakati wa Ziara ya Kikazi Mkoani humo.


Ujenzi wa Jengo Hilo la gorofa Moja umegharimu takribani Shilingi Bilioni 4.5.

Post a Comment

Previous Post Next Post