RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA NNE WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT JAKAYA KIKWETE LEO JULAI 6,2024 AMETEMBELEA BANDA LA TANESCO KWENYE MAONESHO YA 48 YA KIMATAIFA YA BIASHARA SABASABA.
sematv0
NA Richard Mrusha
Amesema kuwa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) linatakiwa kuzingatia na kuhakikisha kuwa huduma ya umeme inapatikana.
Rais huyo mstaafu amelipongeza Shirika hilo kwa usambazaji wa umeme kwani mpaka hivi sasa kila eneo la nchi limeungwa na huduma ya umeme.
Post a Comment