🔴🔴RAIS DKT.SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MASHUJAA

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa katika Uwanja wa Mashujaa uliopo Mji wa Serikali Mtumba Mkoani Dodoma leo tarehe 25 Julai, 2024.



Post a Comment

Previous Post Next Post