WANAWAKE WATAKIWA KUJITOKEZA KWENYE CHAGUZI

 


Mratibu wa Vituo vya Taarifa na Maarifa Wilaya ya Ubungo Bi. Jamila Kisinga akisisitiza wanawake wajitokeze kugombea nafasi mbalimbali katika Chaguzi zijazo Ameyasema hayo katika Tamasha lililoandaliwa na Kituo cha Taarifa na Maarifa Mabibo ikishirikiana na Orchid Group and Organization,Kauli mbiu  

 "KUMUWEZESHA MWANAMKE KIUCHUMI NA UONGOZI" 

Agenda ya Mwanamke ni Turufu ya Ushindi.



Post a Comment

Previous Post Next Post