Aliyewahi kuwa Muwekezaji wa Klabu ya Yanga SC, Mkurugenzi wa Quality Group Limited (QGL) na mwanasiasa akitumikia nafasi ya Diwani wa Kata ya Mbagala Kuu, kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM kati ya mwaka 2015-2017. Yusuf Manji amefariki dunia akiwa Marekani alipokuwa akipatiwa matibabu.
Post a Comment