Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso na naibu Waziri wa Maji Mhe Andrea Kundo wakiendelea, kusikiliza na kupokea maoni,



 Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso na naibu Waziri wa Maji Mhe Andrea Kundo wakiendelea, kusikiliza na kupokea maoni, mapendekezo, changamoto na ushauri wa Waheshimiwa Wabunge leo siku ya pili ya Mjadala wa mapendekezo ya Bajeti ya Wizara ya Maji 2024-25 Bungeni leo tarehe 10 Mei 2024.



Post a Comment

Previous Post Next Post