ATALANTA BINGWA UEFA EUROPA LEAGUE

 Atalanta ya Italia ndio Mabingwa wa UEFA Europa League msimu wa 2023/2024 baada ya kuifunga Bayer Leverkusen ya Ujerumani kwa magoli 3-0.



Ademola Lookman Raia wa Nigeria akiandika rekodi ya Mchezaji pekee wa Afrika kuwahi kufunga hat-trick katika mchezo wowote wa fainali uliyoandaliwa na UEFA.


Hata hivyo Atalanta wanavunja rekodi ya Leverkusen ambao wamecheza msimu mzima bila kupoteza sambamba na kuruhusu kufungwa magoli matatu kwa mara ya kwanza msimu huu.

Post a Comment

Previous Post Next Post