RAIS DKT SAMIA AKUTANA NA MKE WA MWINGIZAJI WA INDIA
sematv0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mjasiriamali Maanayata Dutt ambaye pia ni mke wa muigizaji nguli wa filamu kutoka India Sanjay Dutt, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Aprili, 2024.
Post a Comment