WATUMISHI WA WHI WATOA MSAADA KWENYE HOSPITALI YA OCEAN ROAD SIKIKUU YA WANAWAKE
sematv0
Wanawake wa taasisi ya Watumishi Housing Investments (WHI) watoa msaada wa dawa na mahitaji muhimu kwa kwaajili ya wagonjwa wa kansa kwa Taasisi ya Saratani Ocean Road katika kusherekea sikukuu ya wanawake dunia
Post a Comment