Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, ameshiriki ufunguzi wa Mkutano wa Maspika wa Mabunge Wanawake Duniani uliofanyika Paris nchini Ufaransa. Mkutano huo umefunguliwa leo tarehe 6 Machi, 2024 na Spika wa Ufaransa Mhe. Yael Braun-Pivet.

Post a Comment