SIMBA YACHAPWA NA AL AHALY 0-1



 Klabu ya Simba imeangukia pua 1-0 mbele ya Al Ahly ya Misri katika mechi ya mkondo wa kwanza ya robo fainali ya ligi ya mabingwa barani Afrika. 



Simba hata hivyo wanayo nafasi ya kupindua meza katika mechi ya ugenini itakayochezwa wiki ijayo mjini Cairo, Misri na mshindi wa jumla atajikatia tiketi ya nusu fainali. 



Post a Comment

Previous Post Next Post