KATIBU TAWALA MPYA DODOMA KASPAR MMUYA ARIPOTI KAZINI

 


Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amempokea Katibu Tawala Mkoa Bw. Kaspar K. Mmuya aliyewasili kwenye kituo chake kipya cha kazi ofisini hapo leo Machi 19, 2024


Watumishi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma wamempokea Katibu Tawala Mkoa Bw. Kaspar K. Mmuya aliyewasili kwenye kituo chake kipya cha kazi ofisini hapo leo Machi 19, 2024




Post a Comment

Previous Post Next Post