Rais wa Jamhuri ya Muungano wa 3 Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpa pole Mjane wa Marehemu Mama Regina Lowassa mara baada ya kuwasili katika eneo la mazishi, nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Ngoyai Lowassa, Monduli Mkoani Arusha tarehe 17 Februari, 2024.
Post a Comment