Mkutano Wa Mwaka Wa Vyombo Vya Utangazaji Nchini


 Matukio Mbalimbali yanayoendelea katika mkutano Mkuu wa Mwaka vyombo vya Utangazaji nchini,jijini Dodoma katika Ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete mkutano huo utafanyika kwa siku mbili Februari 13&14,2024  ambapo watajadili mambo mbalimbali katika sekta ya Utangazaji nchini yenye kauli mbiu"Maadili na Taaluma ya Utangazaji 




Post a Comment

Previous Post Next Post