Bar ya Kitambaa Cheupe iliyopo Tabata Barakuda, Dar es Salaam imeteketea kwa moto ulioanza majira ya saa 8 mchana wa leo Februari 23, 2024. Hadi sasa bado haijabainishwa chanzo cha moto huo.
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linaendelea na juhudi za kuuzima moto huo.
Endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa zaidi.


Post a Comment