HATIMAYE KIKOSI CHA AL-AHLY KIMEFIKA KUMASI GHANA SALAMA
sematv0
Kikosi cha Al Ahly tayari kimewasili Kumasi Ghana kwa ajili ya kuwakabili Medeama, awali Al Ahly waliomba mchezo wao dhidi ya Medeama upelekwe mbele kwa siku moja zaidi baada ya kukwama Accra Ghana kwa ndege yao kupata hitilafu.
Post a Comment