Sakata La Kocha TFF Yakaa Kikao Cha Dharula



Kamati ya utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imefanya kikao cha dharula mara tu baada ya Caf kutangaza kumfungia kwa mechi 8 Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Adel Amrouche.


Mara baada ya Caf kuiandikia barua TFF iliitisha kikao hicho cha dharura baadhi ya wajumbe wakiwa Ivory Coast na wengine nyumbani Tanzania na kujadili suala hilo na mengine ikiwemo makocha watakaokaimu, mwendo wa Stars kwenye Afcon na kadhalika.


Amrouche anatuhumiwa kusema taifa la Morocco linafanya litakavyo ndani ya Caf ikiwemo suala la upangaji wa waamuzi

Post a Comment

Previous Post Next Post