Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Mary Maganga akizungumza na Ujumbe wa Mfuko wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (GCF)ukiongozwa na Meneja wa GCF Kanda ya Afrika Bi. Chihenyo Kangara katika kikao kilichofanyika ofisi ndogo ya Ofisi ya Makamu wa Rais jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Mary Maganga akizungumza na Meneja wa Mfuko wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (GCF)Kanda ya Afrika Bi. Chihenyo Kangara mara baada ya kikao kilichofanyika ofisi ndogo ya Ofisi ya Makamu wa Rais jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Mary
Maganga akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Mfuko wa Kukabiliana na
Mabadiliko ya Tabianchi (GCF) pamoja na wataalamu kutoka Ofisi ya Makamu wa
Rais mara baada ya kikao kilichofanyika ofisi ndogo ya Ofisi ya Makamu wa
Rais jijini Dar es Salaam.



Post a Comment