Waziri wa Katiba na Sheria Balozi Dkt.Pindi Chana akizungumza na wakuu wa taasisi za haki jinai Januari 30,2024 katika ofisi za Wizara hiyo Mtumba jijini Dodoma hawapo pichani katika hafla ya kukabidhi vifaa vya TEHAMA kwa taasisi hizo (Picha na Manase Madelemu)
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bi.Mary Makondo akizungumza na wakuu wa taasisi za haki jinai Januari 30,2024 katika ofisi za Wizara hiyo Mtumba jijini Dodoma katika hafla ya kukabidhi vifaa vya TEHAMA kwa taasisi hizo (Picha na Manase Madelemu)
Mkurugenzi mkuu wa Mashitaka nchini DPP Sylvester Mwakitalu akitoa salaam fupi za ofisi yake kwenye hafla ya kukabidhiwa vifaa vya TEHAMA Januari 30,2024 katika ofisi za Wizara ya Katiba na Sheria Mtumba jijini Dodoma(Picha na Manase Madelemu)
Mkurugenzi Mtendaji Hospital ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe Paul Lawala akizungumza katika hafla ya kukabidhiwa vifaa vya TEHAMA Januari 30,2024 katika Ofisi za Wizara ya Katiba na Sheria Mtumba jijini Dodoma(Picha na Manase Madelemu)
Mkuu wa Gereza la Msalato SSP Flavian Justine akitoa salaam za Jeshi la Magereza Januari 30,2024 katika Ofisi za Wizara ya Katiba na Sheria kwenye hafla ya kukabidhiwa vifaa vya TEHAMA kwa taasisi za haki jinai
Jukwaa La Haki Jinai Wakabidhiwa Vitendea Kazi
sematv
0
Post a Comment