*Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Bw. Sylvester Mwakitalu* akisaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Bw. Joseph Pande Jijini Dodoma tarehe 22 Desemba, 2023
*Kaimu Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka Bi. Javelin Rugaihuruza* akisaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Bw. Joseph Pande Jijini Dodoma tarehe 22 Desemba, 2023.









Post a Comment