Rapa Kutoka Nchini Marekani KANYE WEST Anadaiwa kutengana na mkewe anayeitwa BIANCA CENSORI baada ya familia ya Bianca kuomba mrembo huyo aachane na kanye kutokana na tabia zake.
Familia ya Bianca imekuwa ikilalamika jinsi kanye anavyoishi na mrembo huyo ambapo baada ya kuolewa tu Bianca maisha yake yalibadilika muonekabo na hata mavazi jambo ambalo familia yake hawakubaliani nalo. ''kwa mujibu wa Daily Mail inael''
kwa mujibu wa Daily Mail Inael inaeleza kuwa marafiki na familia ya Bianca kwa pamoja wamekuwa wakimlazimisha amuache kanye na adai talaka kwani amekuwa akimpangia hadi vyakula vya kula
Kanye mwenye umri wa miaka 46 alimuoa Bianca Disemba 2022 mwezi mmoja tu baada ya taratibu za talaka ya kanye na aliyekuwa mkewe Kim Kardashian Kukamilika.

Post a Comment