Makonda apiga hodi kwa Spika Tulia



Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Paul Makonda Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma leo

Post a Comment

Previous Post Next Post