Waziri Mkuu Ashiriki Siku Ya Maadhimisho Ya Chakula Duniani'

 Waziri Mkuu wa Jamhuli ya  Muungano Wa Tanzania Mhe Kasimu Mjaliwa Leo Octoba 16,2023 ameshiriki maadhimisho ya siku ya chakula duniani na miaka 78 tangu kuanzishwa kwa Shieika la umoja wa mataifa la chakula na kilimo [FAO] yaliofanyika makao makuu ya shirika hilo Rome, Italia


Katika picha ni waziri mkuu kasimu Majaliwa akipokelewa na kupiga picha ya pamoja na mkurugenzi mtendaji wa FAO Dkt Qu Dongyu alipowasili kwenye makao makuu mwa shirika hilo


Mhe kasimu Majaliwa Anamuwakilisha Rais wa jamhuli ya muungano wa tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa jukwaa la kimataifa la chakula Duniani linalofanyika Kuanzia Octoba 16,2023 hadi Octoba 20, 2023.



Post a Comment

Previous Post Next Post