Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt.Selemani Jafo akiwasilisha taarifa ya Ofisi ya Makamu wa Rais kuhusu utatuzi wa changamoto za Muungano kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria jijini Dodoma.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria wakiwa katika kikao cha kuwasilisha taarifa ya Ofisi ya Makamu wa Rais kuhusu utatuzi wa changamoto za Muungano iliyowasilishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo, jijini Dodoma.
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Abdallah Hassan Mitawi (kulia) na wataalamu kutoka Ofisi hiyo wakiwa katika kikao cha kuwasilisha taarifa ya Ofisi ya Makamu wa Rais kuhusu utatuzi wa changamoto za Muungano kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria iliyowasilishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo (hayupo pichani), jijini Dodoma.
Post a Comment