Mh.Ngassa ashiriki Misa Takatifu Jimbo Kwake

 


Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa akiwa na Waumini wa Parokia ya Mtakatifu Margareta Maria Alakok kwenye Misa Takatifu ya kuhadhimisha Jubilee ya Miaka Ishirini na Tano (25) ya Upadri wa Padri Paschal Kitambi na Padri David Kaswiza. Na Miaka Ishirini na Tano (25) ya Usista kwa Sista Martha Ayaqhoda na Jubilee ya Miaka Hamsini (50) ya Sista Immaculate Katunzi.



Adhimisho la Misa Takatifu limefanyika Parokia ya Igunga, Jimbo Kuu Katoliki la Tabora.



        

Post a Comment

Previous Post Next Post